Hii ni ripoti yetu ya kwanza kabisa!
Kwenye andiko hili, utaona utajifunza zaidi kuhusu shughuli za Taasisi ya Kuendeleza Uchimbaji Mdogo (FADev), na mafanikio ya utekelezaji wa Taasisi.
Pakua, soma, jifunze zaidi kuhusu shughuli zetu, kisha ungana nasi pamoja na wadau wengine, kwenye juhudi za kuboresha mazingira ya Sekta ya Uchimbaji Mdogo wa Madini.
Safari Yetu Toleo la Kwanza_Swahili (003)