Campaign, Government

Hear it in Our Voices Series

MUSASA – CHATO: Women in Artisanal and Small-scale Mining doing what they can in the best way possible to provide basic needs for their families.

For decades governments in countries where Artisanal and Small-scale Mining (ASM) activities thrive, miners decry lack of recognition of the sector, lack of geological data in the areas licensed for ASM activities, lack of friendly infrastructure around ASM active operations, and lack of access to capital in order to rid the sector of traditional and almost primitive way of running their operations.

While the sector faces such challenges, government authorities still have the mandate to collect taxes and other government related revenues. Tanzania is not an exception. To make the most out of the sector, formalisation, improving of licensing systems and allocation of geologically surveyed areas for ASM activities should be prioritised. This way, the Government and miners will benefit from this seeming sleeping giant of a sector.

In the Series, “Hear It in Our Voices”,  Artisanal and Small-scale Miners in Geita Region share their experiences.

Click and visit the links below to access the stories…

  1. Masasi John Gold Mine
  2. Kilimo Kwanza Gold Mine
  3. Mohammed Mtalingi Gold Mine

Kwa miongo kadhaa Serikali katika nchi zenye shughuli za uchimbaji mdogo, wachimbaji wanalilia kutokutambulika kwa sekta ya uchimbaji mdogo kisheria, ukosefu wa taarifa muhimu za kijiolojia katika maeneo ambayo yametengwa kwa ajili ya shughuli za uchimbaji mdogo, ukosefu wa miundombinu rafiki kwenye maeneo ya uchimbaji mdogo, na kutopatikana kirahisi nyenzo za kupata mitaji kwa wachimbaji wadogo ili Kuendeleza shughuli zao kwa ufanisi na kwa tija.

Wakati sekta ya uchimbaji mdogo inakabiliwa na changamoto kama hizi, mamlaka za serikali bado zina jukumu la kukusanya kodi na mapato mengine yanayohusiana na serikali. Changamoto hizi zinapatikana miongoni mwa wachimbaji wadogo nchini Tanzania bila kubagua. Ili kufanikiwa zaidi ni muhimu Kuirasimisha sekta ya uchimbaji mdogo nchini Tanzania. Hii inaenda sambamba na kuhakikisha: uboreshwaji wa mifumo ya utoaji leseni, na pia maeneo yanayotengwa na kutolewa leseni kwa ajili ya shughuli za uchimbaji mdogo ziwe na taarifa za kijiolojia. Kwa njia hii, Serikali na wachimbaji wadogo na jamii zao watafaidika na shughuli za uchimbaji mdogo wa madini.

Katika mfululizo wa makala haya mafupi tuliyoyaita, “Sikia Kupitia Sauti Zetu”, wachimbaji wadogo wa madini Mkoani Geita wanatushirikisha changamoto wanazokumbana nazo.

Bofya vyunganishi hapa chini ili kusikiliza makala hayo…

  1. Masasi John Gold Mine
  2. Kilimo Kwanza Gold Mine
  3. Mohammed Mtalingi Gold Mine

Leave a Reply

en_USEnglish